DHAMBI INAZAA KIFO.

Dhambi inazaa kifo. Jina la Yesu Kristo Mkuu wa Uzima.. libarikiwe!. Bwana Yesu alisema.. Yohana 8:33 “Wakamjibu, Sisi tu uzao wake Ibrahimu, wala hatujawa watumwa wa mtu wakati wo wote; nawe wasemaje, Mtawekwa huru? 34 Yesu akawajibu, Amin, amin, nawaambia, Kila atendaye dhambi ni mtumwa wa dhambi. 35 Wala mtumwa hakai nyumbani sikuzote; mwana hukaa … Continue reading DHAMBI INAZAA KIFO.