HERI NINYI MLIAO SASA, KWA SABABU MTACHEKA.

heri ninyi mliao sasa, kwa sababu mtacheka. Shalom, Jina la Bwana YESU libarikiwe. Ni siku nyingine tena, Bwana ametupa pumzi yake ya uhai, hivyo hatuna budi kumshukuru kwa hili, haijalishi tu wagonjwa kiasi gani, au tunapitia katika magumu kiasi gani, maadamu tu! pumzi ipo basi tumsifu Mungu. Leo tutaangazia ni Kwanini biblia mara kwa mara … Continue reading HERI NINYI MLIAO SASA, KWA SABABU MTACHEKA.