KWANINI AWE PUNDA NA SI MNYAMA MWINGINE?

Kwanini awe Punda na si mnyama mwingine? Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe. Karibu tujifunze Maandiko. Tunaona kipindi kifupi kabla Bwana Yesu kuingia Yerusalemu aliwatuma wanafunzi wake wakamletee Mwana-punda ili alingie naye mjini..Ipo sababu kwanini alimtumia yule mtoto wa punda na si mama yake (Mathayo 21:4-5)..lakini leo hatutakwenda kuiangalia hiyo sababu..kama utapenda kufahamu ni … Continue reading KWANINI AWE PUNDA NA SI MNYAMA MWINGINE?