KIFO CHA REINHARD BONKEY KINAACHA UJUMBE GANI KWETU?

Kifo cha Reinhard Bonkey kinaacha ujumbe gani kwetu? Mwinjilisti wa kimataifa Reinhard Bonkey, raia wa Ujerumani, aliyezaliwa tarehe 19 Aprili 1940.. Anaeleza jinsi alivyompa Kristo Maisha yake akiwa bado kijana mdogo mwenye umri wa miaka 9, baada ya kuhubiriwa na mama yake kuhusu habari za Yesu na dhambi zake. Alidumu katika Imani mpaka kufika kwenda … Continue reading KIFO CHA REINHARD BONKEY KINAACHA UJUMBE GANI KWETU?