JE VIBWENGO NI KWELI VIPO?

Je Vibwengo ni kweli vipo au ni hadithi za kutunga?.. Je namna ya kuvidhibiti vibwengo, mapepo na mashetani ni ipi? Na roho hizo za vibwengo zifanyaje kazi? Kwanza ni muhimu kufahamu kuwa kuna roho za malaika na roho za mashetani…Malaika walioasi ndio wanaojulikana kama mashetani leo…Na malaika hawa wanafanya kazi katika mamlaka ya giza…Yaani kazi … Continue reading JE VIBWENGO NI KWELI VIPO?