JE! NI DHAMBI KUIMBA WIMBO WA TAIFA?
Je! ni dhambi kuimba wimbo wa Taifa hata kama umetungwa kidunia?.Na je ni dhambi kwa watoto wa kikristo kuimba zile nyimbo za chekechea? JIBU: Nyimbo karibia zote za kitaifa hazijatungwa kidunia… Nyingi zilitungwa wakati au baada kidogo ya uhuru wa Taifa husika..Zilikuwa ni nyimbo za Kumshukuru Mungu na kulitakia amani, baraka na mafanikio Taifa husika. … Continue reading JE! NI DHAMBI KUIMBA WIMBO WA TAIFA?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed