Tofauti ya kazi ya Damu ya Yesu na Jina la Yesu ni ipi?

 Habari ya UZIMA? Naomba unisaidie tofauti ya kazi ya Damu ya Yesu na Jina la Yesu Kwa Sisi Tumwaminio/wafuasi wake. Je! Damu ya Yesu inakazi ya Kutulinda sisi au Mali zetu pale tunapoomba kupitia Damu? Ni sahihi kuomba hivyo? Je! Damu ya Yesu inatumikaje Kwa sisi wakristo? JIBU: Ili kuelewa tofuati ya utendaji kazi wa … Continue reading Tofauti ya kazi ya Damu ya Yesu na Jina la Yesu ni ipi?