WAMNGOJEAO BWANA WATAPATA NGUVU MPYA.
Wamngojeao BWANA watapata nguvu mpya. Ipo ahadi kubwa sana ambayo Mungu kaitoa kwa wale walioamua kuiacha dunia na kumfuata yeye kwa gharama zote. Na ahadi yenyewe ni “kupokea nguvu mpya kipindi baada ya kipindi”. Mungu anafahamu kabisa safari ya wokovu ni ngumu kama ilivyosafari nyingine yeyote ya haya maisha…kuna milima na mabonde, kuna kuchukiwa na … Continue reading WAMNGOJEAO BWANA WATAPATA NGUVU MPYA.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed