KUTOKUIHUBIRI INJILI,KUNA MADHARA GANI?

Kutokuihubiri injili, madhara yake ni yapi? Shalom, Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe..Karibu tujifunze Biblia mtu wa Mungu…Leo tutajifunza mambo machache muhimu yahusuyo majukumu yetu ya kuihubiri Injili. Injili maana yake ni “Habari njema”..Habari yoyote au ujumbe wowote unaoupeleka kwa mtu au watu ulio mwema huo tayari ni injili…Zipo Injili za aina nyingi duniani … Continue reading KUTOKUIHUBIRI INJILI,KUNA MADHARA GANI?