Nguvu iliyopo katika maamuzi. Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe. Karibu tujikumbushe Biblia… Leo kwa Neema za Bwana tutajikumbusha mambo ambayo tulishawahi kujifunza huko nyuma..Kwasababu biblia inatufundisha hivyo katika 2Petro 1:12-13, 2Petro 3:1-2, na 1Wakorintho 4:17. Na leo tutajikumbusha jambo muhimu sana ambalo linatutatiza wengi…Na hilo si lingine Zaidi ya nguvu iliyopo katika maamuzi. … Continue reading NGUVU ILIYOPO KATIKA MAAMUZI.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed