Roho, Nafsi, na Mwili vina utofauti gani?

Roho, Nafsi, na Mwili, Je! vina tofauti gani? JIBU: Mwanadamu ameumbwa katika pande kuu mbili, Upande wa kwanza unajulikana kama utu wa ndani, na upande wa pili unajulikana kama utu wa nje. Utu wa nje ndio huu mwili wetu, ambao unaona, unahisi, unasikia, unatembea, unalala, unakula, unatamani n.k. Yaani kwa ufupi utu huu wa nje … Continue reading Roho, Nafsi, na Mwili vina utofauti gani?