HAJANENA KAMWE MTU YE YOTE KAMA HUYU ANAVYONENA.
Yohana 7:45 ‘’Basi wale watumishi wakawaendea wakuu wa makuhani na Mafarisayo. Nao wakawaambia, Mbona hamkumleta? 46 Wale watumishi wakajibu. Hajanena kamwe mtu ye yote kama huyu anavyonena. 47 Basi Mafarisayo wakawajibu, Je! Ninyi nanyi mmedanganyika? 48 Ni nani katika wakuu amwaminiye, au katika Mafarisayo? Amen. Leo hii tujiulize ni kwanini mtu aliye maarufu kuliko wote … Continue reading HAJANENA KAMWE MTU YE YOTE KAMA HUYU ANAVYONENA.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed