ALIJARIBIWA SAWASAWA NA SISI KATIKA MAMBO YOTE.

Alijaribiwa sawasawa na sisi katika mambo yote!! Waebrania 4:14 “Basi, iwapo tunaye kuhani mkuu aliyeingia katika mbingu, Yesu, Mwana wa Mungu, na tuyashike sana maungamo yetu. 15 Kwa kuwa hamna kuhani mkuu asiyeweza kuchukuana nasi katika mambo yetu ya udhaifu; bali yeye alijaribiwa sawasawa na sisi katika mambo yote, bila kufanya dhambi”. Neno la Mungu … Continue reading ALIJARIBIWA SAWASAWA NA SISI KATIKA MAMBO YOTE.