NENO NI LILE LILE, LAKINI UJUMBE NI TOFAUTI.

Neno ni lile lile, lakini ujumbe ni tofauti. Shalom. Wakati wana wa Israeli wanatoka Misri kuelekea Nchi yao ya ahadi walipokuwa wanapitia jangwani, walifikia mahali panapoitwa Kadesh-Barnea, eneo hilo lilikuwa ni kame sana, na ni eneo lililokuwa limezungukwa na milima mikubwa na mabonde mengi. Katika jangwa hilo ndilo eneo lililokuwa gumu kuliko yote kulivuka..Wana wa … Continue reading NENO NI LILE LILE, LAKINI UJUMBE NI TOFAUTI.