Nini tofauti kati ya Amri, sheria na Hukumu?

Nini tofauti kati ya Amri, sheria na Hukumu? JIBU: Tukisoma kitabu cha Kumbukumbu 7:11 biblia inasema… “Basi zishike AMRI, NA SHERIA, NA HUKUMU ninazokuamuru leo, uzitende. 12 Na itakuwa, kwa sababu mwazisikiliza hukumu hizi, na kuzishika na kuzitenda, basi Bwana, Mungu wako, atakutimilizia agano na rehema aliyowaapia baba zako” Ukisoma kwa makini utaona kweli kuna … Continue reading Nini tofauti kati ya Amri, sheria na Hukumu?