SIKU YA UNYAKUO ITAKUKUTAJE?

Siku ya unyakuo itakukutaje? Shalom.Jina la Bwana wetu Yesu Krito libarikiwe. Karibu tujifunze Biblia..Je unajua kuwa kuna siku Kristo atakuja kuwachukua wateule wake? Na kwenda nao mbinguni?..Je unajua watakaokwenda mbinguni ni wachache sana?…Biblia inasema njia ile imesonga na mlango ni mwembamba?.. Mathayo 7:14 “ Bali mlango ni mwembamba, na njia imesonga iendayo uzimani, nao waionao … Continue reading SIKU YA UNYAKUO ITAKUKUTAJE?