Je Mahari ina ulazima wowote?

SWALI: Je ulipwaji wa Mahari ina ulazima wowote?..je ni Agizo la kibiblia? Na kama ni hivyo Je! Adamu alitoa mahari kwa nani ili ampate Hawa? JIBU: Ndoa ya kwanza ilifungishwa na Mungu mwenyewe…Na hakukuhusika mahari wala viapo…Hiyo yote ni kwasababu Hawa hakuwa na Baba wala Mama… Lakini sasa wake zetu wanao wazazi wao..hatuwatoi ubavuni mwetu … Continue reading Je Mahari ina ulazima wowote?