WINGU KUBWA LA MASHAHIDI.

Utangulizi: Tusomapo, habari za mashujaa hawa wa Imani, lengo lake ni kututia hamasa ya kutua mizigo yote ya dhambi inayotusonga , na kupiga mwendo kwa saburi katika safari yetu ya wokovu tuliyo nayo hapa dunianiĀ  kama vile biblia inavyotuambia katika Waebrania 12:1. Tukijua kuwa lipo wingu kubwa la Mashahidi linalotuzunguka sikuzote. Karibu katika maelezo mafupi … Continue reading WINGU KUBWA LA MASHAHIDI.