IMANI NI NINI?

Jiunge na group la Whatsapp, ujifunze biblia na upate Neno la siku kila asubuhi. Pamoja na maswali mengi ya biblia yaliyojibiwa..kwa link hii >>>> https://chat.whatsapp.com/GRri9BATojl2FNGbOJpjC6 Imani ni nini? ..Je tunaweza kufikia imani ya kuhamisha milima?..Nini maaha ya mstari huu?..Warumi 10:17 “Basi imani chanzo chake ni kusikia; na kusikia huja kwa neno la Kristo”. Biblia imesema … Continue reading IMANI NI NINI?