USILALE USINGIZI WAKATI WA KUMNGOJEA BWANA.

Usilale usingizi wakati wa kumngojea Bwana.   Luka 12: 35  “Viuno vyenu na viwe vimefungwa, na taa zenu ziwe zinawaka;  36  nanyi iweni kama watu wanaomngojea bwana wao, atakaporudi kutoka arusini, ili atakapokuja na kubisha, wamfungulie mara.  37  Heri watumwa wale, ambao bwana wao ajapo atawakuta wanakesha. Amin, nawaambieni, atajifunga na kuwakaribisha chakulani, atakuja na … Continue reading USILALE USINGIZI WAKATI WA KUMNGOJEA BWANA.