JIEPUSHE NA MASHINDANO YA DINI.

Shalom.Karibu tujifunze Biblia..Neno la Mungu linasema katika 1Timotheo 6:20 “ Ee Timotheo, ilinde hiyo amana; ujiepushe na maneno yasiyo ya dini, yasiyo na maana, na mashindano ya elimu iitwayo elimu kwa uongo”. Moja ya vitu vinavyobomoa Imani au vinavyomharibu mtu au vinavyoharibu huduma ni mashindano ya dini. Aina yoyote ya mashindano ya dini yanaasisiwa na … Continue reading JIEPUSHE NA MASHINDANO YA DINI.