Kwanini biblia inasema mtu wa rohoni huyatambua yote?
SWALI: Mstari huu una maana gani? 1Wakorintho 2:15 “Lakini mtu wa rohoni huyatambua yote, wala yeye hatambuliwi na mtu”? JIBU: Ukianza kusoma kuanzia ile mstari wa kwanza utaona mtume Paulo, akieleza vizuri maana halisi ya kuwa mtu wa rohoni.. mtu wa rohoni sio mtu anayeona wachawi, au anayeota ndoto, au anayeona maono, mtu anaweza akawa … Continue reading Kwanini biblia inasema mtu wa rohoni huyatambua yote?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed