URIMU NA THUMIMU NI NINI KATIKA BIBLIA?

Urimu na thumimu ni nini? Katika Agano la kale Mungu alikuwa akitumia njia kuu tatu aidha kuwasilisha ¬†ujumbe au leta majibu au kuthibitisha jambo..Njia ya kwanza ni manabii, njia ya pili ni ndoto, na njia ya tatu ni Urimu na thumimu. Tunalithibitisha hilo katika kitabu cha 1Samweli 28:4 ¬†pale ambapo Mfalme Sauli alipokwenda kuuliza kwa … Continue reading URIMU NA THUMIMU NI NINI KATIKA BIBLIA?