TUMTOLEE MUNGU VILE VINAVYOTUGHARIMU ZAIDI.

Tumtolee Mungu vitu vinavyotugharimu hata kuhatarisha maisha…2Samweli 23:15 Daudi akatamani, akasema, Laiti mtu angeninywesha maji ya kisima cha Bethlehemu, kilicho karibu na lango! Shalom, Jina la Bwana Yesu libarikiwe. Ni siku nyingine tumepewa neema ya kuiona, hivyo nakukaribisha tushiriki pamoja kujifunza maneno matakatifu ya Mungu. Leo kwa ufupi tutaichunguza habari moja inayotoka katika  kitabu kile … Continue reading TUMTOLEE MUNGU VILE VINAVYOTUGHARIMU ZAIDI.