JIHADHARI NA KUOSHWA MIGUU ISIVYOPASWA.

Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe…Ni kwa Neema zake tumeiona tena siku ya leo..hivyo hatuna budi kumshukuru sana kwa Fadhili zake nyingi kwetu, na kuchukua nafasi hii angalau kujifunza Neno lake. Masomo yaliyotangulia tuliona ni jinsi gani..Maagizo ya kushiriki meza ya Bwana na kuoshana miguu yalivyo ya muhimu sana kwa kila mkristo kuyazingatia. Kuoshana … Continue reading JIHADHARI NA KUOSHWA MIGUU ISIVYOPASWA.