NI NINI TUNAJIFUNZA JUU YA MT. DENIS WA UFARANSA?

Shalom. Jina la kuu la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe. Karibu katika mwendelezo wetu unaoangazia matendo ya baadhi ya watu walioishindania imani hadi kufa bila kuiacha..Tulishawaona baadhi nyuma na Leo tutamwangazia mwingine anayeitwa Mtakatifu Denis wa Ufaransa. Mtu huyu, alitokea karne ya tatu, Ni maarufu sana katika historia ya nchi Ufaransa, na hata katika vitabu … Continue reading NI NINI TUNAJIFUNZA JUU YA MT. DENIS WA UFARANSA?