Kuna Mbingu ngapi?

Je kuna mbingu ngapi? Mbingu saba ni nini?..na kama zipo 7 je mbingu ya kwanza ni ipi, mbingu ya pili ni ipi, mbingu tatu pia ni ipi? na hatimaye zote saba?.. JIBU:  Katika biblia tunasoma kumetajwa uwepo wa mbingu tatu tu. 2Wakorintho 12:2 ‘Namjua mtu mmoja katika Kristo, yapata sasa miaka kumi na minne, (kwamba … Continue reading Kuna Mbingu ngapi?