MUUNGANIKO WA MADHEHEBU NI MPANGO WA MPINGA-KRISTO.

Shalom, Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe. Karibu tujifunze tena maandiko siku ya leo. Kwasababu Neno la Mungu ndio mwanga wa njia zetu na taa iongozayo miguu yetu. Maana yake tukiwa na Neno la Mungu vya kutosha ndani yetu basi njia ya maisha yetu itakuwa wazi, tutakuwa tunajua tulikotoka, tulipo sasa na tunapokokwenda…kwasababu ile … Continue reading MUUNGANIKO WA MADHEHEBU NI MPANGO WA MPINGA-KRISTO.