WALE WAZEE ISHIRINI NA WANNE (24), WANA KAZI GANI?

Wale wazee ishirini na wanne na akina nani na kazi yao ni ipi? Kama wengi wetu tunavyofahamu Malaika watakatifu wamesifika kwa kazi moja kuu nayo ni kumsifu Mungu na kumwimbia, lakini mbali na sifa hiyo wamepewa pia kazi nyingine maalumu ya kufanya nayo ni ile ya kuwahudumia watakatifu.. Waebrania 1:14 “Je! Hao wote si roho … Continue reading WALE WAZEE ISHIRINI NA WANNE (24), WANA KAZI GANI?