Nifanye nini ili niondokane na Hofu maishani mwangu?

Neno Hofu linatokana na ¬†kuogopa. mfano ukishaopa kitu Fulani tu basi hapo hapo hofu inaingia na mashaka pia.. tuchukulie mfano umekutana na nyoka njiani, usipomuogopa ni wazi kuwa hofu haiwezi kukuingia bali utaweza aidha kumpisha apite, au kukabiliana naye. Lakini ukishaogopa tu, basi hapo hapo hofu nayo inapata nafasi, na vilevile wasiwasi au¬† mashaka yatakujia … Continue reading Nifanye nini ili niondokane na Hofu maishani mwangu?