JE KUPONYWA NI UTHIBITISHO WA MUNGU KUWA NA WEWE?
Shalom. Karibu tujifunze Biblia, ambalo ndio Neno la Mungu, Mwanga wa njia yetu na Taa iongozayo miguu yetu. Biblia inasema…Mungu anawaangazia jua lake waovu na wema…(Mathayo 5:45), na anawanyeshea mvua yake wenye haki na wasio haki..Maana yake ni kwamba…Riziki Mungu anawapa watu wote…Hata mchawi akienda kupanda mbegu zake shambani kwake…Mungu atazinyeshea mvua na zitaota. Sasa … Continue reading JE KUPONYWA NI UTHIBITISHO WA MUNGU KUWA NA WEWE?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed