MAJINI WAZURI WAPO?

Majini ni nini? Je kuna majini wazuri?, je pete za majini ni zipi? na namba za majini ni zipi?..Je kuna njia yoyote ya kupata utajiri wa haraka? JIBU: Kwanza ni vizuri kufahamu majini ni nini?…Majini ni jina lingine la roho zilizoasi mbinguni, ambazo zilitupwa chini duniani pamoja na lusifa ambaye ndiye alikuwa kiongozi wao. Majini … Continue reading MAJINI WAZURI WAPO?