Kwanini wanawake wengi huwa wanalipuka mapepo?

SWALI: Naomba kufahamu ni kwa nini katika mikutano mingi ya injili na sehemu za makusanyiko kama mashuleni na sehemu zingine Wanawake ndio hupatwa sana na kusumbuliwa na mapepo? JIBU: Sababu kubwa ya tatizo hilo ni kitu kinachoitwa “maumbile”. Jinsi Adamu alivyoumbwa ni tofauti na Hawa alivyoumbwa biblia inasema hivyo…Hawa aliumbwa kama msaidizi..alitoka ubavuni mwa mwingine..Kwahiyo … Continue reading Kwanini wanawake wengi huwa wanalipuka mapepo?