USIMPE NGUVU SHETANI.

Biblia inatuonyesha yapo majaribio matatu ambayo shetani atajaribu kuyafanya ili kuupandikiza ufalme wake. Jaribio la kwanza ni lile alilolifanya mbinguni, lakini akashindwa, pale alipopigwa na akina Mikaeli pamoja na malaika zake.. Ufunuo 12:7 “Kulikuwa na vita mbinguni; Mikaeli na malaika zake wakapigana na yule joka, yule joka naye akapigana nao pamoja na malaika zake; 8 … Continue reading USIMPE NGUVU SHETANI.