JE! UNAYATUNZA MAVAZI YAKO?

Ufunuo 16:15 “(Tazama, naja kama mwivi. Heri akeshaye, na kuyatunza mavazi yake, asiende uchi hata watu wakaione aibu yake.)” Vazi ni kitu kinachositiri mwili…Mwili ukikosa mavazi unakuwa tupu/uchi. Na ni aibu kuwa uchi…Lakini pia upo utu wa ndani ambao nao pia unahitaji mavazi..ukikosa mavazi nao pia ni sawa na upo uchi na aibu yake huo … Continue reading JE! UNAYATUNZA MAVAZI YAKO?