TOFAUTI KATI YA HEKALU, SINAGOGI NA KANISA NI IPI?

HEKALU. Kulingana na historia ya Taifa la Israeli, tangu zamani wakiwa jangwani walikuwa wanamwabudu Mungu kwa kumtolea Dhabihu za aina mbalimbali mbele ya ile hema ya kukutania kama Musa alivyoagaizwa na Mungu kufanya, Na hema hii ilikuwa ni ya kuhama hama sio rasmi. Lakini mara baada ya kuingia katika nchi yao ya ahadi, Mfalme Daudi … Continue reading TOFAUTI KATI YA HEKALU, SINAGOGI NA KANISA NI IPI?