SAKRAMENTI NI NINI, NA JE! IPO KATIKA MAANDIKO?

Kulingana na kanisa Katoliki Sakramenti Ni ishara ya wazi ionekanayo, ya neema isiyoonekana, iliyofanywa na Yesu Kristo mwenyewe, itumike kutuletea au kutuongezea neema mioyoni mwetu. Yaani kwa lugha nyepesi ni ishara za nje zionekanazo zilizobeba neema ya wokovu,  zilizofanywa  kwanza na Bwana Yesu, ambazo tukizifanya na sisi zitatuongezea neema moyoni mwetu ya kumkaribia Mungu Zaidi. … Continue reading SAKRAMENTI NI NINI, NA JE! IPO KATIKA MAANDIKO?