Katika Biblia kuna mahali panasema… “Mchukuliane mizigo na kuitimiza hivyo sheria ya Kristo (Wagalatia 6:2)”. Lakini Biblia hiyo hiyo mbele kidogo katika mstari wa 6 inasema “Maana kila mtu atalichukua furushi lake mwenyewe (Wagalatia 6: 5)”. Ni rahisi kuona kama biblia inajichanganya lakini sio kweli, biblia sikuzote ipo sawa,.Isipokuwa tu Mungu anahitaji tupate msaada wake … Continue reading CHUKUA MZIGO WA MWINGINE.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed