MJUMBE WA AGANO.

Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe..karibu tujifunze Biblia… Malaki 3: 1 “Angalieni, namtuma mjumbe wangu, naye ataitengeneza njia mbele yangu; naye Bwana mnayemtafuta atalijilia hekalu lake ghafula; naam, yule mjumbe wa agano mnayemfurahia, angalieni, anakuja, asema Bwana wa majeshi” Mpango wa Mungu katika kumwokoa mwanadamu umegawanyika katika sehemu mbili..Agano la kale(au kwa lugha nyingine … Continue reading MJUMBE WA AGANO.