KUOTA MAFURIKO,KUOTA MAJI MENGI,KUOTA MAWIMBI.

Naomba kufahamu Je! Kuota mafuriko ni kiashiria cha nini? Mafuriko kazi yake si nyingine Zaidi ya kugharikisha, tofauti na mvua ambayo kazi yake ni kustawi