Nini maana ya “Siku moja nyuani mwa Bwana ni bora kuliko siku elfu”?

SWALI: Naomba kufahamu maana ya Neno hili, maana huwa nalisoma silielewi.. (Zaburi 84:10 “Hakika siku moja katika nyua zako Ni bora kuliko siku elfu. Ningependa kuwa bawabu nyumbani mwa Mungu wangu, Kuliko kukaa katika hema za uovu”) . JIBU: Maana yake ni kuwa ukitumia siku yako moja kikamilifu kudumu uweponi mwa Bwana, tangu jua linapochomoza … Continue reading Nini maana ya “Siku moja nyuani mwa Bwana ni bora kuliko siku elfu”?