Kwanini Mungu aliikubali sadaka ya Yeftha ya kumtoa binti yake kafara?

SWALI: Kwanini Mungu aliikubali sadaka ya Yefhta, ya kumtoa binti yake kafara? Je Mungu anakubali sadaka za kuteketeza watu? JIBU: Kabla ya kwenda kwa Yeftha turudi kwanza kwa Ibrahimu…swali ni je! Kwanini Mungu amwambie Ibrahimu akamtoe mwanawe kama sadaka ya kuteketezwa?..Je Mungu anaziridhia sadaka za kuchinja watu na kutoa kafara?..Kwanini asingemwambia akamtoe mbuzi tu na … Continue reading Kwanini Mungu aliikubali sadaka ya Yeftha ya kumtoa binti yake kafara?