JILINDE NA UNAJISI, UNA MADHARA MAKUBWA.

Najisi ni kitu gani? “Najisi” ni kitu chochote kinachokwamisha na kuundoa usafi wako wote, heshima yako yote au hadhi yako yote uliyokuwa nayo ..Kwamfano unaweza ukawa na nguo yako nyeupe, lakini kawino kadogo tu cheusi kakapita kwenye mfuko wa shati hilo, kakakufanya usilavae tena shati hilo kwa doa lile ..Sasa kale kadoa cha wino ndio … Continue reading JILINDE NA UNAJISI, UNA MADHARA MAKUBWA.