JINSI SODOMA NA GOMORA ILIVYOKUWA INAVUTIA SANA..

Jinsi sodoma na gomora ilivyokuwa inavutia sana. Mwanzo 13:10 “Lutu akainua macho yake, akaliona Bonde lote la Yordani, ya kwamba lote pia lina maji, kabla Bwana hajaharibu Sodoma na Gomora, lilikuwa kama bustani ya Bwana, kama nchi ya Misri hapo unapokwenda Soari. 11 Basi Lutu akajichagulia Bonde lote la Yordani; Lutu akasafiri kwenda upande wa … Continue reading JINSI SODOMA NA GOMORA ILIVYOKUWA INAVUTIA SANA..