TUWATAFAKARI NZIGE WA JANGWANI.

Tuwaonapo nzige wa jangwani ni nini tunajifunza? Shalom.. Karibu tuongeze jambo lingine kuhusu ufalme wa mbinguni.. Bwana Yesu alipotuambia utafuteni kwanza ufalme wake na haki yake…Alimaanisha kweli ufalme huo ili kuupata inahitaji kuutafuta…Lakini jambo ambalo hatujui pia ni kuwa ufalme huo haujafichwa katika mambo magumu sana, kiasi kwamba itatuhitaji tuwe na shahada kubwa za elimu, … Continue reading TUWATAFAKARI NZIGE WA JANGWANI.