Je ni wakina nani ambao hawataonja mauti mpaka siku ya kuja Bwana?

 Je! Ni wakina nani hao katika (Mathayo 16:28) ambao Bwana alisema hawataonja mauti mpaka atakapokuja? JIBU: Tusome.. Mathayo 16:27 “Kwa sababu Mwana wa Adamu atakuja katika utukufu wa Baba yake pamoja na malaika zake; ndipo atakapomlipa kila mtu kwa kadiri ya matendo yake. 28 Amin, nawaambieni, Pana watu katika hawa wasimamao hapa, ambao hawataonja mauti … Continue reading Je ni wakina nani ambao hawataonja mauti mpaka siku ya kuja Bwana?