UTAKUWA MTORO NA MTU ASIYE NA KIKAO DUNIANI.

Kaini baada ya kumuua ndugu yake Habili, tunasoma pale Mungu alimlaani, na kumwambia.. “utakapoilima ardhi haitakupa mazao yake; utakuwa mtoro na mtu asiye na kikao duniani”… Lakini tujiulize ni kwanini Mungu hakumrudishia Kaini mapigo ya uuwaji kama aliyoyafanya kwa ndugu yake badala yake akamwambia atakuwa mtu asiyekuwa na kikao duniani?. Mwanzo 3:13 “Kaini akamwambia Bwana, … Continue reading UTAKUWA MTORO NA MTU ASIYE NA KIKAO DUNIANI.