WEWE U MWALIMU WA ISRAELI,NA MAMBO HAYA HUYAFAHAMU?
Maneno haya aliambiwa Nikodemo, mwalimu wa torati, Farisayo aliyemfuata Bwana Yesu kwa siri usiku na kumweleza mambo ambayo mafarisayo mwenzake wanayajua juu yake..alikiri na kusema kuwa sisi mafarisayo tunajua kabisa wewe umetoka kwa Mungu.(Lakini walikuwa wanampinga).. Lakini kabla hajafika mbali Bwana Yesu alimkatiza na kuanza kumweleza habari za kuzaliwa mara ya pili.. Yohana 3:1 “Basi … Continue reading WEWE U MWALIMU WA ISRAELI,NA MAMBO HAYA HUYAFAHAMU?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed