MUONEKANO MPYA WA YESU BAADA YA KUFUFUKA.

Muonekano mpya wa yesu baada ya kufufuka, unabeba somo gani? Bwana Yesu alipokuwa bado anaishi duniani, ilikuwa ni rahisi kumtambua, kwani kwa sura yake tu watu waliweza kumtambua kuwa huyu ndiye. Lakini mara baada ya kufufuka kwake, mambo yalikuwa tofauti kabisa, haikuwezekana kumtambua tena Bwana Yesu kwa sura yake..Ilihitaji kipimo kingine tofauti.. Hilo tunalithibitisha sehemu … Continue reading MUONEKANO MPYA WA YESU BAADA YA KUFUFUKA.