KUOTA UNAJISAIDIA SEHEMU ZA WAZI.

Kuota Unajisaidia sehemu za wazi. Maana yake ni nini? Ndoto hii, imekuwa ikiotwa mara kadhaa wa kadha na watu wengi. Kwa mfano mtu mmoja alinisimulia ndoto yake, anasema katika ndoto alijikuta yupo stendi ya basi, na pale palikuwa na watu wengi sana, ghafla akaanza kujisaidia lakini yeye alikuwa anajitahidi kufanya vile asionekana..Na alipomaliza akidhani hajaonekana … Continue reading KUOTA UNAJISAIDIA SEHEMU ZA WAZI.